Website & E-Commerce Collection

Collection hii inalenga watu wanaotaka kujenga tovuti, maduka ya mtandaoni na mifumo ya kusaidia biashara kufanya kazi na kuuza online.
Course Overview
- Course 1
Digital Marketing and Online Sales Masterclass
Masoko ya Kidijitali na Mfumo wa Kuongeza Mauzo Mtandaoni. Kuonekana mtandaoni hakutoshi ikiwa hakuna wateja na mauzo. Kozi hii inakufundisha kujenga mfumo kamili wa masoko...




