AI & Productivity Collection

Collection hii inalenga watu wanaotaka kutumia AI kuongeza ufanisi katika kazi, biashara, mawasiliano na utengenezaji wa maudhui.
Course Overview
- Course 1
AI Mastery for Work, Business and Content Creation
Akili Unde kwa Kazi, Biashara na Utengenezaji wa Maudhui. Jifunze kutumia akili unde kuboresha kazi, kukuza biashara, kutengeneza maudhui na kuokoa muda. Kozi hii itakufundisha...
- Course 2
Canva, CapCut and AI Content Creation Bootcamp
Utengenezaji wa Graphics, Video na Maudhui kwa Canva, CapCut na AI. Jifunze kutengeneza posters, matangazo, reels, video fupi, thumbnails na maudhui ya mitandao ya kijamii...





