Social Media Management Collection

Collection hii inalenga watu wanaotaka kuwa wataalamu wa kusimamia mitandao ya kijamii kwa biashara, mashirika, taasisi au kama freelancers.
Course Overview
- Course 1
Canva, CapCut and AI Content Creation Bootcamp
Utengenezaji wa Graphics, Video na Maudhui kwa Canva, CapCut na AI. Jifunze kutengeneza posters, matangazo, reels, video fupi, thumbnails na maudhui ya mitandao ya kijamii...
- Course 2
Professional Social Media Manager Masterclass
Utaalamu wa Usimamizi wa Mitandao ya Kijamii. Kozi hii inakuandaa kuwa social media manager anayeweza kuajiriwa, kufanya freelance au kuanzisha huduma yake mwenyewe. Utajifunza kuandaa...





