Corporate Digital Skills Collection

Collection hii inalenga wafanyakazi, managers, communication teams na taasisi zinazotaka kuongeza uwezo wao wa kutumia AI, maudhui na majukwaa ya kidijitali kwa ufanisi.
Course Overview
- Course 1
AI Mastery for Work, Business and Content Creation
Akili Unde kwa Kazi, Biashara na Utengenezaji wa Maudhui. Jifunze kutumia akili unde kuboresha kazi, kukuza biashara, kutengeneza maudhui na kuokoa muda. Kozi hii itakufundisha...
- Course 2
Digital Marketing and Online Sales Masterclass
Masoko ya Kidijitali na Mfumo wa Kuongeza Mauzo Mtandaoni. Kuonekana mtandaoni hakutoshi ikiwa hakuna wateja na mauzo. Kozi hii inakufundisha kujenga mfumo kamili wa masoko...
- Course 3
Canva, CapCut and AI Content Creation Bootcamp
Utengenezaji wa Graphics, Video na Maudhui kwa Canva, CapCut na AI. Jifunze kutengeneza posters, matangazo, reels, video fupi, thumbnails na maudhui ya mitandao ya kijamii...
- Course 4
Professional Social Media Manager Masterclass
Utaalamu wa Usimamizi wa Mitandao ya Kijamii. Kozi hii inakuandaa kuwa social media manager anayeweza kuajiriwa, kufanya freelance au kuanzisha huduma yake mwenyewe. Utajifunza kuandaa...







