Digital Marketing & Sales Collection

Collection hii inalenga watu wanaotaka kujifunza mfumo wa kupata wateja, kufanya matangazo, kusimamia leads na kuongeza mauzo kupitia majukwaa ya kidijitali.
Course Overview
- Course 1
Digital Marketing and Online Sales Masterclass
Masoko ya Kidijitali na Mfumo wa Kuongeza Mauzo Mtandaoni. Kuonekana mtandaoni hakutoshi ikiwa hakuna wateja na mauzo. Kozi hii inakufundisha kujenga mfumo kamili wa masoko...




