Utaalamu wa Usimamizi wa Mitandao ya Kijamii.
Kozi hii inakuandaa kuwa social media manager anayeweza kuajiriwa, kufanya freelance au kuanzisha huduma yake mwenyewe. Utajifunza kuandaa mikakati, kalenda za maudhui, captions, reports, analytics, community management na namna ya kupata na kuhudumia wateja. Mwisho wa programu utakuwa na mfumo, templates na portfolio inayokuwezesha kuanza kuuza huduma zako kwa biashara na mashirika.
Not a member yet? Register now
Are you a member? Login now